Tuesday

MTOTO AZALIWA NA SEHEMU 4 ZA SIRI









Wakazi wa mjini arusha juzi walishangazwa sana baada ya kushuhudia mtoto huyu kuzaliwa na sehemu 4 za siri.

Wakazi wa jiji hilo, wanaliita A-Town na ukifanikiwa kushiriki vijiwe mbalimbali, utabaini jinsi mkoa huo ulivyozizima kutokana na kuzaliwa motto mwenye sehemu nne za siri.

Kila kona ya jiji hilo, anazungumzwa mtoto huyo kwa hali ya mshangao. Malaika huyo wa Mungu hajapewa jina lakini mama yake anaitwa Naishooki Logolie, 23, mkazi wa Kijiji cha Injok, Wilaya ya Arumeru, Arusha.

No comments:

Post a Comment